Search This Blog

Loading...

Monday, March 14, 2011

KISWAHILI-VITABU VYA REJEA

KIDATO CHA TATU NA KIDATO CHA NNE

1. Taasisi ya Elimu Tanzania, Kiswahili Kidato cha tatu (Oxford Tanzania) 1996
2. Taasisi ya elimu Tanzania, Kiswahili Kidato cha nne (Oxford Tanzania) 1996
RIWAYA

1. Ben  J. Hanson, Taka dini (Mathew books, stores and stationaries)
2. Emmanuel Mbogo, Watoto wa mama ntilie (Heko Publishers)
3. Abdalah Safari, Joka la Mdimu (Huba Publishers)

TAMTHILIA

1. Edwini Semzaba, Ngoswe-Penzi kitovu cha uzembe
2. Medical Aid Foundation, Kilio chetu (Tanzania Publishing House)
3. Steve Reynold, Orodha (Macmillan)2006

USHAIRI

1. Takiluki, malenga wapya (Oxford University Press)
2.Mohamedi Khatibu, Wasaka tonge (Oxford University Press)-2003
3. Theobald Mvungi, mashairi ya chakacheka (Educational Publishers)


KIDATO CHA TANO NA KIDATO CHA SITA

RIWAYA
1. Mbunda Msokile, usiku utakapokwisha (DUP).
2. Adam Shafii, Vuta nikuvute 
 3.Hussein Tuwa, Wafadhili
 4. Shaban Robert, Kufikirika

TAMTHILIA 

1. Emmanuel Mbogo, Morani (DUP)
2. Said Mohamed, Kivuli kinaishi
3. Ebrahim Hussein, Kwenye ukingo wa thim
4. Penina Muhando, Nguzo mama
USHAILI
1. Shabani Robert, Mapenzi bora
2. Haji Gora Haji, Kimbunga
3. Mohamed Khatibu, Fungate ya Uhuru
4. Theobald Mvungi, Chungu tamu

FASIHI 

1. Penina Muhando & Ndinao Balisidya, Fasihi na sanaa za maonyesho
2. Senkoro, Fasihi na Jamii
3. Uwavita, Fasihi, uandishi na uchapishaji
4. Tuki, makala za semina ya kimataifa ya uandishi, juzuu ya II Fasihi
SARUFI

1. Herman Mwansoko, Tafiri na ukarimani
2. Mbunda Msokile, Historia ya Lugha
3. Masamba na wenzake, Samikisa
4.Masamba na wenzake, Samakisa
5. John Msungu, Utungaji na ufaham wa Kiswahili
6.Herman Mwansoko, uundaji wa Istilahi
 
No comments:

Post a Comment